Nenda kwa yaliyomo

zogo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

zogo

  1. Kupiga makelele. Kuletea watu tabu has za makelele. Kuongea sana bila mpangilio na kupelea kuleta kama ghasia fulani.
  2. Kufanya kitu bila ya makini

Tafsiri

[hariri]