ukame
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]ukame
Pronunciation
[hariri]
- Ukame (kwa Kiingereza "Drought") ni hali ya hewa ya sehemu au mahali fulani inayofanya pakose maji ya kutosha kwa muda mrefu[1]. Kwa kawaida hii inamaanisha kipindi ambako kuna mvua kidogo, au kupungukiwa kwa usimbishaji mwingine kama theluji.
- Ukame unatokea pia pale ambako watu na kilimo wanategemea maji kwa umwagiliaji na vyanzo vingine vya maji vinakauka.
- Ukame unaweza kuhatarisha uhai wa mimea, wanyama na watu, ambao wote wanahitaji maji.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : drought (en)
- Kifaransa: sècheresse (fr)