uakifishaji

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Uakifishaji ni nomino yenye maana ya uwekaji wa alama za uandishi kama vile nukta, mkato, nuktamkato na kadhalika katika maandishi. Uakifishaji huko katika ngeli ya u-.