Nenda kwa yaliyomo

tahiri

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

kitenzi

[hariri]

tahiri

  1. kukata govi la uume wa mtoto wa kiume kwa sababu ya kiafya, kidini au kitamaduni.