suspension
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- hali ya kusimamisha kwa muda shughuli, mchakato au haki fulani; kuzuia jambo lisifanyike kwa kipindi maalum
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: kusitishwa, kusimamishwa
- Kifaransa: suspension, interruption