shabiki

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

shabiki wa soka timu ya Argentina.

Nomino[hariri]

shabiki (wingi mashabiki)

  1. mtu apendaye sana jambo au kitu fulani

Tafsiri[hariri]