Nenda kwa yaliyomo

republic

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Nomino

[hariri]

(Wingi; republic)

  1. Neno la kiingereza lenye maana ya aina ya serikali ambapo mamlaka kuu inashikiliwa na watu na wawakilishi wao waliochaguliwa, na ambapo rais huchaguliwa au kuteuliwa badala ya mfalme.

Tafsiri

[hariri]

Kiswahili; jamhuri