referendum
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri](Wingi; referendums)
- Neno la kiingereza lenye maana ya kura ya moja kwa moja ambapo wapiga kura wote wanaalikwa kupiga kura juu ya pendekezo fulani.
Tafsiri
[hariri]Kiswahili; kura ya maoni