reconcile
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Kitenzi
[hariri]- kuleta amani au makubaliano kati ya watu au pande tofauti; kufikia suluhu
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: kuelewana, kusuluhisha, kufikia makubaliano
- Kifaransa: réconcilier, rapprocher, arranger