pupil
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- mwanafunzi; mtu anayefundishwa na mwalimu, hasa mtoto wa shule
- sehemu nyeusi ya jicho inayodhibiti mwanga unaoingia
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: mwanafunzi, sehemu ya jicho
- Kifaransa: élève, pupille