pledge
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- kitu kinachowekwa kama ahadi au dhamana ya kutimiza jambo fulani; huweza kuwa mali, maneno, au kitendo cha kujitolea
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: rehani, dhamana, ahadi ya kujitolea
- Kifaransa: gage, promesse, engagement