partner
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- mtu anayeshirikiana na mwingine katika kazi, biashara, au mahusiano rasmi au ya karibu
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: mshirika, mwenza wa kazi, mwenza wa maisha
- Kifaransa: partenaire, associé, compagnon