pacify
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Kitenzi
[hariri]- kufanya mtu au kundi kuwa mtulivu, kuondoa hasira au migongano
- kuleta amani au utulivu
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: [[kulegeza], [kutuliza], kuleta amani
- Kifaransa: apaiser, calmer, réconcilier