opium
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- dutu ya kahawia yenye harufu nzito, hutolewa kutoka kwa mpopi wa opiumu; hutumika kitabibu kama dawa ya maumivu au kiholela kama dawa ya kulevya
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: opiumu, dutu ya mpopi
- Kifaransa: opium