Nenda kwa yaliyomo

obscene

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Kivumishi

[hariri]
  1. kinachokiuka maadili au heshima ya jamii; chenye matusi, machukizo, au maudhui ya ngono
  2. (kidhihaki) kilicho kupita kiasi hadi kuonekana cha aibu au kisicho na maadili (mfano: faida au mshahara mkubwa mno)

Tafsiri

[hariri]