Nenda kwa yaliyomo

ngwini

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
Sander-pinguins.jpg
Pengwini

Nomino

[hariri]

ngwini

Pronunciation

[hariri]

  1. (Ngwini au Pengwini ni ndege wa bahari katika familia Spheniscidae. Ndege hawa hawawezi kuruka angani lakini chini ya maji huenda kama “kuruka”. Kwa kweli, wanaishi baharini nusu ya mwaka na wanarudi nchi kavu ili kuzaa tu. Kwa kawaida ngwini ni weupe kwa kidari na tumbo na weusi kwa mgongo (aina ya kamafleji).

Tafsiri

[hariri]