nguzo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

nguzo

  1. kipande cha mti au chuma kilichosimamishwa wima kwa ajili ya kushikilia kitu kisianguke

Tafsiri[hariri]