nervous
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Kivumishi
[hariri]- mwenye wasiwasi au hofu; asiye na utulivu wa kihisia
- unaohusiana na mishipa ya fahamu au mfumo wa neva
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: wenye wasiwasi, asiye na utulivu, wa neva
- Kifaransa: nerveux, anxieux