neither
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Kielezi / Kiunganishi / Kiwakilishi
[hariri]- hutumika kuonyesha kwamba hakuna kati ya chaguo mbili; si mmoja wala mwingine
- hutumika kuanzisha taarifa nyingine ya kukanusha baada ya ya kwanza
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: wala, si mmoja wala mwingine
- Kifaransa: ni l’un ni l’autre, aucun des deux