Nenda kwa yaliyomo

na

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kiunganishi

[hariri]
  1. Hutumika kuunganisha maneno au sentensi.
    • Mfano: Baba na mama. (Father and mother.)

Kihusishi

[hariri]
  1. Hutumika kumaanisha pamoja na, kwa kutumia au kwa njia ya.
    • Mfano: Nenda na mimi. (Go with me.)

Tafsiri

[hariri]