Nenda kwa yaliyomo

mycology

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

nomino

[hariri]

(wingi: mycology)

  1. tawi la biolojia linalojishughulisha na utafiti wa fangasi, ikiwa ni pamoja na miundo yao,ukuaji, uzalishaji na uhusiano na mimea ,wanyama na mazingira.

Tafsiri

[hariri]