Nenda kwa yaliyomo

mwanya

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

mwanya (mianya)

  1. nafasi kidogo katikati ya vitu viwili inayoweza kupitisha kitu au mnyama

Tafsiri

[hariri]