murmur
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- sauti ya chini isiyo wazi kama ya kunong’ona au sauti ya kugugumia
- (tiba) sauti isiyo ya kawaida inayosikika kwenye moyo wakati wa kupiga stethoscope
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: nung’uniko, sauti ya moyo isiyo ya kawaida
- Kifaransa: murmure, souffle cardiaque