monster
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- kiumbe mkubwa au wa kutisha, mara nyingi wa kubuni au wa hadithi
- mtu mwenye tabia ya kikatili au isiyokuwa ya kawaida
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: jitu la kutisha, mnyama wa ajabu
- Kifaransa: monstre