militarism
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri](Wingi; militarism)
- Neno la kiingereza lenye maana ya imani kwamba nchi inapaswa kudumisha jeshi lenye nguvu na kujiandaa kwa ajili ya kutumia mamlaka ya kijeshi.
Tafsiri
[hariri]Kiswahili; militaristi