migraine
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- maumivu makali ya kichwa yanayojirudia, mara nyingi upande mmoja, na yanaweza kuambatana na kichefuchefu au matatizo ya kuona
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: kichwa kizito, maumivu ya kichwa ya muda mrefu
- Kifaransa: migraine