Nenda kwa yaliyomo

meddlesome

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Kivumishi

[hariri]
  1. mwenye tabia ya kuingilia mambo ya wengine bila kualikwa; anayependa kuingilia kati au kutoa maoni pasipo kuhitajika

Tafsiri

[hariri]