maladroit
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Kivumishi
[hariri]- asiye na ustadi; asiyejua kushughulika vizuri
- kisichofanywa kwa ustadi au kilichopangwa vibaya
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: asiye na ustadi, asiyejua kushughulika, kichovu
- Kifaransa: maladroit, gauche, inépte