leseni ya biashara
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]leseni ya biashara (wingi leseni za biashara)
- leseni inayomwezesha mwanabiashara kuendesha biashara yake
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : business license (en)
leseni ya biashara (wingi leseni za biashara)