Nenda kwa yaliyomo

kuitisha

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kitenzi

[hariri]
  1. kuita au kukusanya watu kwa ajili ya mkutano au shauri

Tafsiri

[hariri]