Nenda kwa yaliyomo

kosher

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiingereza

[hariri]

Kivumishi

[hariri]
  1. kinachokubalika kwa mujibu wa sheria za Kiyahudi kuhusu chakula
  2. kinachotayarishwa au kuhifadhiwa kwa kufuata masharti ya kidini ya Kiyahudi
  3. (matumizi ya mazungumzo) halali, sahihi, au kinachokubalika kisheria au kijamii

Kitenzi

[hariri]
  1. kutayarisha chakula au vifaa kwa mujibu wa sheria za Kiyahudi (mfano: kuondoa damu kutoka kwa nyama)

Tafsiri

[hariri]