Nenda kwa yaliyomo

komea

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kitenzi

[hariri]
  1. Ni kitendo cha kufunga kitu kwa nguvu kuzuia kuingia au kutoka.
  2. Ni kitendo cha kushikamanisha kitu kwa mkazo.
  3. Ni kitendo cha kuacha kabisa au kutokujihusisha na shughuli fulani.

Tafsiri

[hariri]

Kiingereza: lock; bolt; fasten tightly; quit