Nenda kwa yaliyomo

josho

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

josho (wingi majosho)

  1. mahali wanapozamisha ng'ombe ndani ya maji yaliyotiwa dawa ili kuua kupe

Tafsiri

[hariri]