jasusi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Jasusi mtu anaepeleleza ndani ya nchi ama nje ya nchi kwa maslahi ya usalama wa taifa lake

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

jasusi (wingi majasusi)

  1. mtu anayechunguza nchi nyingine kwa niaba ya nchi nyingine

Tafsiri[hariri]