Nenda kwa yaliyomo

iroko

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

iroko

  1. ni aina ya mti mkubwa wa msituni (hardwood tree) unaopatikana sana Afrika Magharibi na Afrika ya Kati.

Mfano

[hariri]
  • Iroko ni mti mkubwa unaopatikana Afrika.

Tafsiri

[hariri]