intransitive
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Vivumishi
[hariri]- (kwa sarufi) kitenzi ambacho hakihitaji nomino ya moja kwa moja (direct object) ili kukamilisha maana yake
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: kisiyo na nomino ya moja kwa moja, kitenzi kisicho na lengo
- Kifaransa: intransitif