imminent
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Adjective
[hariri](Wingi; imminent)
- Ni neno la Kiingereza linalomaanisha kinachokaribia kutokea au kutokea hivi karibuni; kisichoweza kuepukika na kiko karibu sana.
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili; karibu kutokea, kinachoelekea kutokea, karibu sana