icicle
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- kipande cha barafu kinachoning’inia na kuchongoka, hutengenezwa wakati matone ya maji yanoganda yanapodondoka kutoka sehemu ya juu kama paa, miti, au miamba
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: kipande cha barafu, barafu inayoning’inia, barafu ya kuchongoka
- Kifaransa: glaçon suspendu, stalactite de glace