Nenda kwa yaliyomo

hima

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Entomolojia

[hariri]

Hima inatokana na neno la Kiarabu "himmah" همة linalomaanisha azma.

Kitenzi

[hariri]

hima

  1. Kuwa na hamu au ari kubwa ya kutimiza jambo fulani.
  2. Kufanya Kwa haraka au kasi.