harmonic
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- (wingi) sauti ya juu inayosikika pamoja na sauti kuu katika muziki
Kivumishi
[hariri]- kinachohusiana na maelewano ya sauti au mitetemo
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: sauti ya juu ya muziki, ya maelewano
- Kifaransa: harmonique, en harmonie