halcyon
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- Ndege wa baharini wa kwenye hadithi za kale anayefanana na mpigamsitu, anayesemekana kutuliza mawimbi wakati wa kutaga mayai
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili:halisiyoni, mpigamsitu wa baharini
- Kifaransa:alcyon