gay
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Vivumishi
[hariri]- furaha au raha; mwenye tabasamu na hamu ya kufurahia
- (kisasa) anayependelea kushirikiana kimapenzi na watu wa jinsia moja
Nomino=
[hariri]- mtu anayependelea kimapenzi watu wa jinsia moja (maana ya kisasa)
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: furaha, raha, mwenye tabasamu, mpenzi wa jinsia moja
- Kifaransa: joyeux, heureux, homosexuel