fad
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- jambo au mtindo unaopata umaarufu wa ghafla kwa muda mfupi kisha kupotea; mvuto wa muda mfupi katika jamii
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: mtindo wa muda, kipenzi cha muda
- Kifaransa: mode passagère, coqueluche