eugenics
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri](Wingi; eugenics)
- Neno la kiingereza lenye maana ya utafiti au imani katika uwezekano wa kuboresha sifa za idadi ya watu kwa kuzuia uzazi na watu wenye sifa fulani za kijenetiki au kuhimiza uzazi na watu wenye sifa nyingine za kijenetiki
Tafsiri
[hariri]Kiswahili; eujeniki