Nenda kwa yaliyomo

elininyo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Kigezo:ifnl

Elininyo

Nomino

[hariri]
  1. hali ya kupanda kwa halijoto katika Bahari ya Pasifiki kuliko kiwango cha kawaida inayosababisha mabadiliko ya mikondo ya kawaida ya pepo na aghalabu kusababisha mabadiliko ya hali ya hewa.

Tafsiri

[hariri]