Nenda kwa yaliyomo

eka

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kipali

[hariri]

Kivumishi

[hariri]

eka (pi)

  1. moja
  • Evaṃ me sutaṃ – ekaṃ samayaṃ bhagavā ukkaṭṭhāyaṃ viharati subhagavane sālarājamūle.
    • Hivi ndivyo nilivyosikia: Wakati mmoja, Bhagava (Bwana Mtukufu) alikuwa anaishi Ukkattha, katika msitu mzuri chini ya mti mkuu wa sala. (Mulapariyaya Sutta kwa kiswahili)