Nenda kwa yaliyomo

conversación

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kihispania

[hariri]

Nomino

[hariri]

conversación

  1. Mazungumzo kati ya watu wawili au zaidi.

Mfano

[hariri]

Tuvimos una conversación interesante. (Tulikuwa na mazungumzo ya kuvutia.)

Tafsiri

[hariri]