Nenda kwa yaliyomo

chozi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]
chozi tumbo-njano

Nomino 1

[hariri]

chozi (wingi machozi)

  1. tone la maji linalotoka katika macho ya mtu akiwa na furaha au huzuni

Tafsiri

[hariri]

Nomino 2

[hariri]

chozi (wingi chozi)

  1. ndege mdogo ambaye anakula mbochi wa maua

Tafsiri

[hariri]