center
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Noun
[hariri](Wingi; centers)
- Ni neno la Kiingereza linalomaanisha sehemu ya kati kabisa ya kitu, eneo, au kikundi; kitovu au moyo wa kitu. Pia, linaweza kumaanisha sehemu kuu ya shughuli.
Verb
[hariri](Wingi; center)
- Ni neno la Kiingereza linalomaanisha kuweka au kujikita katikati; kuelekeza umakini kwenye jambo kuu.
Tafsiri
[hariri]Kiswahili; katikati, kitovu, kati, weka katikati