attribute
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Noun
[hariri](Wingi; attributes)
- Ni neno la Kiingereza linalomaanisha sifa, tabia, au hulka mahususi inayomilikiwa na mtu au kitu.
Verb
[hariri](Wingi; attribute)
- Ni neno la Kiingereza linalomaanisha kuhusisha sifa, ubora, au sababu fulani na mtu au kitu; kuhesabia.